CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 2
Je, aina hii ya wimbo huitwaje?
From Kiswahili Paper 2 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi simulizi
TINDI MWANANGU
Tindi mwanangu, tinditindi,
Usilie mwanangu, tinditindi,
Nakupenda mwanangu,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Tinditindi mwanangu tinditindi,
Nitakupa peremende tinditindi,
Na asali mwanangu, tinditindi,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Sasa lala mwanangu,
Pumzika mwanangu,
Tinditindi mwanangu,
Tii-tii-tii mwanangu,
Titi.
Tindi mwanangu, tinditindi,
Usilie mwanangu, tinditindi,
Nakupenda mwanangu,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Tinditindi mwanangu tinditindi,
Nitakupa peremende tinditindi,
Na asali mwanangu, tinditindi,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Sasa lala mwanangu,
Pumzika mwanangu,
Tinditindi mwanangu,
Tii-tii-tii mwanangu,
Titi.
Je, aina hii ya wimbo huitwaje?
Answer
Wimbo wa bembelezi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Eleza sifa tatu za wimbo huu.Question 3
- Eleza manufaa matatu ya wimbo huu.Question 4
- Anayeimbiwa wimbo huu amepewa ahadi gani?Question 5
- Unafikiri wimbo huu huimbwa na kina nani?Question 6
- Eleza mitindo mitatu ya uwasilishaji wa nyimbo za aina hii.Question 7
- Eleza tanzu mbili za Fasihi Simulizi.Question 8