CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 40
Pengo 7: andika neno kutoka kisandukuni.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
13. Jaza mapengo kwa maneno haya: ale, katika, mmoja, mbinu, mlafi, kula kwa, mengi, la, pale, kuwa.
Nyani __1__ alikuwa akiona njaa. Akatamani sana apate kitu __2__ ili ashibe. Alianza kutafuta __3__ za kupata mlo. Mara alitokezea __4__ shamba __5__ mahindi __6__ sana. Alianza __7__ pupa na papara kama fisi __8__ kupindukia. Alihakikisha __9__ amezunguka kotekote huku akiendelea kubugia matunda, maharagwe, viazi na mihogo.
Pengo 7: andika neno kutoka kisandukuni.
Answer
kula kwa
Alianza kula kwa pupa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Pengo 8: andika neno kutoka kisandukuni.Question 41
- Pengo 9: andika neno kutoka kisandukuni.Question 42
- Andika majina ya maumbo haya. a.Question 43
- Andika maneno ukitumia silabi zifuatazo: p, b, tQuestion 1
- Eleza maana ya nomino.Question 2
- Andika nomino katika sentensi zifuatazo. a. Wanafunzi wanacheza.Question 3