CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 42
Pengo 9: andika neno kutoka kisandukuni.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
13. Jaza mapengo kwa maneno haya: ale, katika, mmoja, mbinu, mlafi, kula kwa, mengi, la, pale, kuwa.
Nyani __1__ alikuwa akiona njaa. Akatamani sana apate kitu __2__ ili ashibe. Alianza kutafuta __3__ za kupata mlo. Mara alitokezea __4__ shamba __5__ mahindi __6__ sana. Alianza __7__ pupa na papara kama fisi __8__ kupindukia. Alihakikisha __9__ amezunguka kotekote huku akiendelea kubugia matunda, maharagwe, viazi na mihogo.
Pengo 9: andika neno kutoka kisandukuni.
Answer
kuwa
Alihakikisha kuwa amezunguka.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.