CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 3
Andika nomino katika sentensi zifuatazo. a. Wanafunzi wanacheza.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi, Nomino
3. Andika nomino katika sentensi zifuatazo.
a. Wanafunzi wanacheza.
Answer
Wanafunzi
Wanafunzi ni jina la watu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.