CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 28
a. Ubeti wa pili una mishororo mingapi?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Ushairi, Shairi
12. Soma shairi hili na ujibu maswali.
Yamepita ya zamani, 'mebadilika
Ondoka twende shuleni, dada nanyi kina kaka
Msibaki majumbani, mwisho mtahangaika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni
Tuanzie vijijini, kuliko sahaulika
Tujiondoe gizani, maisha 'mebadilika
Twende shule tusomeni, kuchora na kuandika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni
Sikubali asilani, kuacha shule kuolewa
Au kwenda baani, kunywa pombe na vibaka
Ukimwi upo njiani, ukicheza utakushika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni.
a. Ubeti wa pili una mishororo mingapi?
Answer
Minne
Kila ubeti una mishororo minne.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b. Shairi hili ni la aina gani?Question 29
- c. Taja vina vya kati vya shairi hili.Question 30
- d. Taja mshororo uliorudiwarudiwa.Question 31
- e. Andika kichwa cha shairi hili.Question 32
- f. Katika ubeti wa kwanza, mshororo wa mwisho una mizani mingapi?Question 33
- Pengo 1: andika neno kutoka kisandukuni.Question 34