naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 30

c. Taja vina vya kati vya shairi hili.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Ushairi, Shairi

12. Soma shairi hili na ujibu maswali.
Yamepita ya zamani, 'mebadilika
Ondoka twende shuleni, dada nanyi kina kaka
Msibaki majumbani, mwisho mtahangaika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni

Tuanzie vijijini, kuliko sahaulika
Tujiondoe gizani, maisha 'mebadilika
Twende shule tusomeni, kuchora na kuandika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni

Sikubali asilani, kuacha shule kuolewa
Au kwenda baani, kunywa pombe na vibaka
Ukimwi upo njiani, ukicheza utakushika
Elimu ndiyo maisha, vijana wote someni.

c. Taja vina vya kati vya shairi hili.

Answer

-ni

Vipande vya kwanza vinaishia na -ni: zamani, shuleni, majumbani, someni.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test