naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 11

Juma na rafiki zake walikuwa wakifanya nini uwanjani?

From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 11 - 15.
Juma na rafiki zake walikuwa wakicheza uwanjani. Walikuta mfuko wa plastiki ukiwa umetupwa karibu na miti. Mfuko huo ulikuwa na uchafu ndani. Juma alikumbuka somo lao la usafi na utunzaji wa mazingira. Alimwita rafiki yake Ali na wakaenda kuchukua mfuko huo. Waliutupa kwenye pipa la taka lililokuwa karibu. Walijua kuwa kutupa taka ovyo huchafua mazingira na kunaweza kuleta magonjwa. Walifurahi kuwa wametunza mazingira yao.

11. Juma na rafiki zake walikuwa wakifanya nini uwanjani?

  1. AKazi
  2. BKusoma
  3. CKucheza
  4. DKulala

Answer

C. Kucheza

Walikuwa wakicheza.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test