CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 14
Walifanya nini na mfuko waliokuta?
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 11 - 15.
Juma na rafiki zake walikuwa wakicheza uwanjani. Walikuta mfuko wa plastiki ukiwa umetupwa karibu na miti. Mfuko huo ulikuwa na uchafu ndani. Juma alikumbuka somo lao la usafi na utunzaji wa mazingira. Alimwita rafiki yake Ali na wakaenda kuchukua mfuko huo. Waliutupa kwenye pipa la taka lililokuwa karibu. Walijua kuwa kutupa taka ovyo huchafua mazingira na kunaweza kuleta magonjwa. Walifurahi kuwa wametunza mazingira yao.
14. Walifanya nini na mfuko waliokuta?
- AWaliacha pale pale
- BWaliuchoma moto
- CWaliutupa kwenye pipa la taka
- DWalizika ardhini
Answer
C. Waliutupa kwenye pipa la taka
Pipa la taka.