CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Chagua jibu sahihi la pengo 19.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwa chaguzi ulizopewa.
Shuleni kwetu kuna __16__ ya bustani. Sisi wanafunzi wa Gredi ya 5 tulipewa sehemu yetu ya __17__. Tulianza kwa kuandaa __18__ kwa kutumia jembe. Baadaye tulipanda __19__ za mboga kama spinachi na kabichi. Tunatunza bustani yetu kwa __20__ kila siku na kuondoa magugu.
19. Chagua jibu sahihi la pengo 19.
- Awanyama
- Bmawe
- Cmiche
- Dndege
Answer
C. miche
Miche ya mboga.