CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Chagua nomino ya kawaida:
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
21. Chagua nomino ya kawaida:
- AJuma
- BNairobi
- CShule
- DZiwa Nakuru
Answer
C. Shule
Nyingine ni nomino za pekee.