naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 10

Reptilia wengi huzaana kwa njia gani kulingana na kifungu?

From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 6 - 10.
Darasani, tunajifunza kuhusu wanyama mbalimbali. Jana, mwalimu alitueleza kuhusu wanyama jamii ya reptilia. Hawa ni wanyama ambao mara nyingi hutambaa au huogelea na mwili wao huwa na magamba au ngozi ngumu. Mifano ya reptilia ni kama nyoka, mijusi, kobe na mamba. Mwalimu alisema wanyama hawa hutaga mayai ardhini au kwenye mchanga. Baadhi yao wanaweza kuwa hatari kwa binadamu.

10. Reptilia wengi huzaana kwa njia gani kulingana na kifungu?

  1. AKuzaa watoto
  2. BKutaga mayai
  3. CKujigawanya
  4. DKuota kutoka ardhini

Answer

B. Kutaga mayai

Hutaga mayai.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test