CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 7
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) — Kusikiliza na Kuongea · 15 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Ilipofikia majira ya saa tisa, Mfalme Mbezi alihisi kuwa huenda watu wake waliokwenda kisiwa cha Mikwingwina wamepata matatizo.
Akawaambia watu wake waliokuwa pamoja naye kwamba:
“Lulu kwa ajili ya binti yangu lazima ipatikane, na siwezi kurudi Mgombezi bila lulu.”
Aliendelea kuwaambia kuwa hakuna mtu atakayebaki ng’ambo ya kisiwa cha Mikwingwina hadi lengo hilo litimizwe.
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Mfalme Mbezi alipoona kuwa walinzi wake hawakurudi katika siku ile aliyokuwa amewapangia, aliamua kuongeza siku moja zaidi kuwasubiri. Alikusudia kwamba kama hawatakuwa wamefika, achukue hatua ili kuhakikisha kuwa lulu ya binti yake inapatikana kwa hali yoyote ile. Ilipofikia majira ya saa tisa, Mfalme Mbezi alihisi kuwa huenda watu wake waliokwenda kisiwa cha Mikwingwina wamepata matatizo. Akawaambia watu wake waliokuwa pamoja naye kwamba: “Lulu kwa ajili ya binti yangu lazima ipatikane, na siwezi kurudi Mgombezi bila lulu.” Aliendelea kuwaambia kuwa hakuna mtu atakayebaki ng’ambo ya kisiwa…
Tamka majina (Mbezi, Mikwingwina, Mgombezi) kwa usahihi, soma bila kusita, simama kwenye nukta na upandishe au ushushe sauti kwenye koma na alama za usemi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- A. Msimulizi alikuwa Gredi ya ngapi?Question 1
- B. Baada ya kula chakula cha usiku walikuwa wakifanya nini?Question 2
- C. Baba alimfanyia nini mama baada ya kurudi nyumbani?Question 3
- D. Baba alifika saa ngapi?Question 4
- E. Baba alikuwa katika hali gani?Question 5
- F. Mama alifanya nini baba alipobisha hodi?Question 6