CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) — Kusikiliza na Kuongea
Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) — Kusikiliza na Kuongea · Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) — Kusikiliza na Kuongea · 7 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 7 questions with answers
- Question 1: A. Msimulizi alikuwa Gredi ya ngapi?Answer: Gredi ya tano.
- Question 2: B. Baada ya kula chakula cha usiku walikuwa wakifanya nini?Answer: Walipumzika kidogo kisha wakasali.
- Question 3: C. Baba alimfanyia nini mama baada ya kurudi nyumbani?Answer: Alimpiga makofi na mateke.
- Question 4: D. Baba alifika saa ngapi?Answer: Takribani saa sita usiku.
- Question 5: E. Baba alikuwa katika hali gani?Answer: Alikuwa amelewa na alikuwa na hasira kali.
- Question 6: F. Mama alifanya nini baba alipobisha hodi?Answer: Aliamka na kumfungulia mlango.
- Question 7: Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Mfalme Mbezi alipoona kuwa walinzi wake hawakurudi katika siku ile aliyokuwa amewapangia, aliamua kuongeza…