CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 2
B. Baada ya kula chakula cha usiku walikuwa wakifanya nini?
From Kiswahili — Midterm Term 2 Assessment 2026 (Set 10) — Kusikiliza na Kuongea · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Sikiliza hadithi na swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
B. Baada ya kula chakula cha usiku walikuwa wakifanya nini?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Walipumzika kidogo kisha wakasali.
"tunapumzika kidogo, kisha tunasali".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.