CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 20
Tunda lenye rangi ya zambarau na lina mbegu nyingi ndani ni:
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Chagua jibu sahihi kwa kila swali.
25. Tunda lenye rangi ya zambarau na lina mbegu nyingi ndani ni:
- AChungwa
- BEmbe
- CPera
- DKarakara
Answer
D. Karakara
Karakara (pasheni) ina ganda la rangi ya zambarau na ndani yake kuna mbegu nyingi.