naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 5

Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha Bonyeza kurekodi kisha usome kwa sauti.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Kusikiliza na Kusoma) · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Matumizi ya tarakilishi katika mafunzo yamepewa kipaumbele katika mtaala huu wa CBC. Matumizi ya teknolojia mpya yanarahisisha sana mafunzo darasani na kusaidia kurahisisha mambo mengi. Wanafunzi shuleni mwetu hutumia vipakatalishi katika kusakura mambo mengi kwenye tovuti kama ilivyoratibiwa katika mafunzo yao. Wanafunzi hufurahia sana kusoma kupitia njia hii ya kisasa na pia huwapa motisha katika masomo yao ya kila siku.

Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha
Bonyeza kurekodi kisha usome kwa sauti.

Answer

Matumizi ya tarakilishi katika mafunzo yamepewa kipaumbele katika mtaala huu wa CBC. Matumizi ya teknolojia mpya yanarahisisha sana mafunzo darasani na kusaidia kurahisisha mambo mengi. Wanafunzi shuleni mwetu hutumia vipakatalishi katika kusakura mambo mengi kwenye tovuti kama ilivyoratibiwa katika mafunzo yao. Wanafunzi hufurahia sana kusoma kupitia njia hii ya kisasa na pia huwapa motisha katika masomo yao ya kila siku.

Soma kila neno wazi, kama vile tarakilishi, kipaumbele, vipakatalishi, kusakura na motisha. Simama kidogo kwenye vituo na usome kwa kasi inayofaa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test