CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 4
Taja mambo matatu ya kuzingatia ili kuzuia ugonjwa wa Korona.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Kusikiliza na Kusoma) · 3 marks · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
Mwalimu atakuuliza maswali kisha utajibu.
Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi ujibu kwa sauti.
Taja mambo matatu ya kuzingatia ili kuzuia ugonjwa wa Korona.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Kunawa mikono kwa sabuni, kuvaa barakoa na kukaa umbali kutoka kwa wengine.
Tunazuia Korona kwa kunawa mikono, kuvaa barakoa, kukaa umbali na kuepuka mikusanyiko.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.