CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025: Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Kusikiliza na Kusoma)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Kusikiliza na Kusoma) · Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Kusikiliza na Kusoma) · 5 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 5 questions with answers
- Question 1: Je, umewahi kuhudhuria sherehe yoyote tangu kuzaliwa?Answer: Ndiyo, nimewahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya shangazi yangu.
- Question 2: Ni mambo yapi uliyaona katika sherehe?Answer: Niliona watu wakiimba na kucheza, chakula kingi, mapambo ya puto, wageni waliovaa nguo nzuri, keki, zawadi,…
- Question 3: Je, wakati wa janga la Korona tulifaa kuhudhuria sherehe yoyote?Answer: Hapana, tulifaa kuepuka mikusanyiko ili tusiambukizane ugonjwa.
- Question 4: Taja mambo matatu ya kuzingatia ili kuzuia ugonjwa wa Korona.Answer: Kunawa mikono kwa sabuni, kuvaa barakoa na kukaa umbali kutoka kwa wengine.
- Question 5: Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha Bonyeza kurekodi kisha usome kwa sauti.Answer: Matumizi ya tarakilishi katika mafunzo yamepewa kipaumbele katika mtaala huu wa CBC. Matumizi ya teknolojia…