CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 3
iii. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu kuosha matunda kabla ya kuyala?
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Kusikiliza na Kuzungumza) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi ujibu kila swali kwa kuzungumza.
iii. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu kuosha matunda kabla ya kuyala?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ili kuondoa uchafu na kuepuka maradhi.
Tunaosha matunda ili kuondoa uchafu na viini vinavyoweza kutuletea maradhi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- iv. Mbali na tunda ulilotaja, ni matunda gani mengine unayoyajua?Question 4
- Tedi na Njeru waliishi wapi?Question 5
- Tedi anamjali Njeru. Toa sababu.Question 6
- Unafikiri mwalimu atafanya nini atakapoona bendera waliochora Tedi na Njeru?Question 7
- Kukutana mara kwa mara inamaanisha nini?Question 8
- i. Mimi ninapenda nanasi. Je, wewe unapenda tunda gani?Question 1