CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 2
ii. Hebu nieleze sababu inayokufanya kupenda tunda hilo?
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Kusikiliza na Kuzungumza) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi ujibu kila swali kwa kuzungumza.
ii. Hebu nieleze sababu inayokufanya kupenda tunda hilo?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ninalipenda kwa sababu lina ladha tamu.
Sababu nzuri ni kama ladha tamu ya tunda, bei yake nafuu, au kwamba linapatikana kwa wingi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- iii. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu kuosha matunda kabla ya kuyala?Question 3
- iv. Mbali na tunda ulilotaja, ni matunda gani mengine unayoyajua?Question 4
- Tedi na Njeru waliishi wapi?Question 5
- Tedi anamjali Njeru. Toa sababu.Question 6
- Unafikiri mwalimu atafanya nini atakapoona bendera waliochora Tedi na Njeru?Question 7
- Kukutana mara kwa mara inamaanisha nini?Question 8