CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025: KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Kusikiliza na Kuzungumza)
Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Kusikiliza na Kuzungumza) · KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Kusikiliza na Kuzungumza) · 8 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza.
All 8 questions with answers
- Question 1: i. Mimi ninapenda nanasi. Je, wewe unapenda tunda gani?Answer: Mimi ninapenda chungwa.
- Question 2: ii. Hebu nieleze sababu inayokufanya kupenda tunda hilo?Answer: Ninalipenda kwa sababu lina ladha tamu.
- Question 3: iii. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu kuosha matunda kabla ya kuyala?Answer: Ili kuondoa uchafu na kuepuka maradhi.
- Question 4: iv. Mbali na tunda ulilotaja, ni matunda gani mengine unayoyajua?Answer: Embe, papai na tufaha.
- Question 5: Tedi na Njeru waliishi wapi?Answer: Katika kijiji cha Mamboleo.
- Question 6: Tedi anamjali Njeru. Toa sababu.Answer: Alimsaidia kuchora bendera ya Kenya.
- Question 7: Unafikiri mwalimu atafanya nini atakapoona bendera waliochora Tedi na Njeru?Answer: Atafurahi na kuwapongeza.
- Question 8: Kukutana mara kwa mara inamaanisha nini?Answer: Kukutana mara nyingi.