CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 3
Taja kazi mbili alizofanya Zawadi.
From Kiswahili — Competence Based Assessment First Trial 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza
Sikiliza mazungumzo kati ya Zawadi na Juhudi, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
3. Taja kazi mbili alizofanya Zawadi.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Alipalilia mahindi na kuchota maji.
Jibu: Alipalilia mahindi na kuchota maji.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.