CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 6
SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Competence Based Assessment First Trial 2025 (Set 1) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Paulina ni mwanafunzi wa darasa la tatu. Anapenda kusoma na rafiki zake Mboni, Baraka na Tumaini. Wakati wa kufunga shule alitangazwa kuwa mshindi katika darasa lao. Alishtuka alipoambiwa kuwa amewashinda wote. Ndoto ya Paulina ni kusoma hadi chuo kikuu na kuwa rubani. Paulina ni mwanafunzi anayejitambua na mwenye kuweka malengo ya baadaye.
SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Paulina ni mwanafunzi wa darasa la tatu. Anapenda kusoma na rafiki zake Mboni, Baraka na Tumaini. Wakati wa kufunga shule alitangazwa kuwa mshindi katika darasa lao. Alishtuka alipoambiwa kuwa amewashinda wote. Ndoto ya Paulina ni kusoma hadi chuo kikuu na kuwa rubani. Paulina ni mwanafunzi anayejitambua na mwenye kuweka malengo ya baadaye.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.