CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 29
b) Watoto wa familia hii wanaitwa nani?
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali.
Hii ni familia ya Boaz. Boaz ana watoto wawili. Majina yao ni Bill na Ben. Mama yao anaitwa Messo. Familia ya Boaz hupendana sana. Wao hushirikiana vizuri. Wanapenda kuosha nyumba yao. Wanapenda usafi.

b) Watoto wa familia hii wanaitwa nani?
Answer
Bill na Ben
Majina ya watoto ni Bill na Ben.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.