naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 31

d) Wanapenda kufanya nini?

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi kisha ujibu maswali.

Hii ni familia ya Boaz. Boaz ana watoto wawili. Majina yao ni Bill na Ben. Mama yao anaitwa Messo. Familia ya Boaz hupendana sana. Wao hushirikiana vizuri. Wanapenda kuosha nyumba yao. Wanapenda usafi.

Baba, mama na watoto wawili wakikumbatiana

d) Wanapenda kufanya nini?

Answer

Wanapenda kuosha nyumba yao.

Hadithi inasema: Wanapenda kuosha nyumba yao. Wanapenda usafi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test