naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 28

Soma hadithi kisha ujibu maswali. a) Hadithi ni juu ya familia ya nani?

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi kisha ujibu maswali.

Hii ni familia ya Boaz. Boaz ana watoto wawili. Majina yao ni Bill na Ben. Mama yao anaitwa Messo. Familia ya Boaz hupendana sana. Wao hushirikiana vizuri. Wanapenda kuosha nyumba yao. Wanapenda usafi.

Baba, mama na watoto wawili wakikumbatiana

8. Soma hadithi kisha ujibu maswali.
a) Hadithi ni juu ya familia ya nani?

Answer

Boaz

Hadithi inaanza: Hii ni familia ya Boaz.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test