CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 30
Wewe hupenda kusafiri kwa njia gani unapomtembelea babu au bibi yako?
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series A) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
SEHEMU C: UFAHAMU
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
MSAFIRI
Kila mtu hutamani kusafiri kwa njia za kifahari. Njia hizi ni kama eropleni, magari na meli. Nikiwa na safari fupi, mimi husafiri kwa miguu mara mbili kwa wiki. Kusafiri kwa miguu kuna faida kwenye mwili wa binadamu. Zaidi ya hayo, msafiri hatumii hela zozote kusafiri. Je, wewe husafiri kwa miguu mara ngapi kwa wiki?
4. Wewe hupenda kusafiri kwa njia gani unapomtembelea babu au bibi yako?
Answer
kwa gari
Jibu lolote la busara: kwa miguu, kwa gari, kwa matatu, kwa pikipiki, kwa basi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Je, wewe husafiri kwa miguu mara ngapi kwa wiki?Question 31
- SEHEMU D: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'Mama yangu'.Question 32
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Tunasalimiana vipi wakati wa: 1. AsubuhiQuestion 1
- KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Question 3
- Taja jina la shule yetu.Question 4
- Ubao ni wa rangi gani?Question 5