CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 3
KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series A) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Siku moja, kuku alimwomba mwewe sindano ashonee nguo zake. Vifaranga wa kuku walipoteza sindano ya mwewe. Mwewe aliporudi alikasirika sana. Akamwita kuku akamwambia, "Tafadhali nipe mayai yako kama malipo ya kupoteza sindano yangu." Kuku alimwambia, "Pole sana, lakini sina mayai kwa sasa. Nitakulipa baadaye." Mwewe alikataa na akamchukua kifaranga wa kuku.
KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Siku moja, kuku alimwomba mwewe sindano ashonee nguo zake. Vifaranga wa kuku walipoteza sindano ya mwewe. Mwewe aliporudi alikasirika sana. Akamwita kuku akamwambia, "Tafadhali nipe mayai yako kama malipo ya kupoteza sindano yangu." Kuku alimwambia, "Pole sana, lakini sina mayai kwa sasa. Nitakulipa baadaye." Mwewe alikataa na akamchukua kifaranga wa kuku.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.