CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 6
Taja vifaa vinavyopatikana shuleni.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series A) · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
SHULE YETU
Shule yetu inaitwa Baraka. Ina lango kuu la manjano. Ina madarasa, walimu na wanafunzi. Darasani kuna ubao mweusi, madawati, kifutio, chaki, chati na meza. Darasa letu linapendeza.
3. Taja vifaa vinavyopatikana shuleni.
Answer
ubao, madawati, chaki
Darasani kuna ubao, madawati, kifutio, chaki, chati na meza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B: SARUFI 1. Tumia '-ako' au '-enu' a) Kitabu ___ kimeraruka.Question 7
- b) Wazazi ___ ni wazuri.Question 8
- Tumia 'vibaya' au 'vizuri' a) Mtoto alianguka ___Question 9
- b) Nilisoma ___ mwalimu akafurahi.Question 10
- c) Gari lilianguka ___Question 11
- Tarakimu: Andika tarakimu zifuatazo kwa maneno a) 17Question 12