CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 5
Ubao ni wa rangi gani?
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series A) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
SHULE YETU
Shule yetu inaitwa Baraka. Ina lango kuu la manjano. Ina madarasa, walimu na wanafunzi. Darasani kuna ubao mweusi, madawati, kifutio, chaki, chati na meza. Darasa letu linapendeza.
2. Ubao ni wa rangi gani?
Answer
mweusi
Kifungu kinasema ubao mweusi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.