CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 3
Mama aliniwekea tunda gani?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Ufahamu wa Kusikiliza Kifungu
Hadithi: Kapu la Chakula
Mama yangu aliniandalia kapu langu la chakula. Aliweka ndizi na nyama. Kisha akaweka machungwa. Nilipofika shuleni niliweka kwenye meza ya chakula. Tulipomaliza kusoma tuliosha mikono kisha tukaanza kula. Nilikula chakula changu na kunywa maji safi.

Answer
machungwa
"Machungwa" is the primary answer (introduced by "Kisha akaweka"); ndizi is also technically a fruit mentioned earlier.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.