naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 2

Alipikiwa chakula kipi?

From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Ufahamu wa Kusikiliza Kifungu

Hadithi: Kapu la Chakula

Mama yangu aliniandalia kapu langu la chakula. Aliweka ndizi na nyama. Kisha akaweka machungwa. Nilipofika shuleni niliweka kwenye meza ya chakula. Tulipomaliza kusoma tuliosha mikono kisha tukaanza kula. Nilikula chakula changu na kunywa maji safi.

Alipikiwa chakula kipi?

Answer

ndizi na nyama

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test