naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 7

Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu A: Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma kwa Sauti · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha

Macho yangu ni mawili. Nayo hunisaidia kuona. Mimi huyatunza sana. Pia hunawa uso kila mara ninapoamka. Miguu yangu naipenda sana. Huniwezesha kutembea shuleni. Mimi huvalia viatu ili nyayo zangu zisiharibiwe na mawe. Nitokapo msalani mimi huosha mikono yangu kwa maji na sabuni. Mimi huoga kila siku. Afya yangu ni nzuri sana.

Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Macho yangu ni mawili. Nayo hunisaidia kuona. Mimi huyatunza sana. Pia hunawa uso kila mara ninapoamka. Miguu yangu naipenda sana. Huniwezesha kutembea shuleni. Mimi huvalia viatu ili nyayo zangu zisiharibiwe na mawe. Nitokapo msalani mimi huosha mikono yangu kwa maji na sabuni. Mimi huoga kila siku. Afya yangu ni nzuri sana.

Soma kila neno wazi na usimame kidogo kwenye kila kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test