CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 4
Eleza matumizi ya vifaa ulivyotaja.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu A: Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma kwa Sauti · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
Mwalimu atakuuliza maswali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
4. Eleza matumizi ya vifaa ulivyotaja.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Kalamu hutumika kuandika na kitabu hutumika kusoma.
Kalamu ni ya kuandika; kitabu ni cha kusoma.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.