CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu A: Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma kwa Sauti
Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu A: Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma kwa Sauti · End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu A: Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma kwa Sauti · 7 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 7 questions with answers
- Question 1: Hujambo?Answer: Sijambo.
- Question 2: Uko gredi gani?Answer: Niko gredi ya kwanza.
- Question 3: Taja vifaa viwili vya darasani.Answer: Kalamu na kitabu.
- Question 4: Eleza matumizi ya vifaa ulivyotaja.Answer: Kalamu hutumika kuandika na kitabu hutumika kusoma.
- Question 5: Eleza jinsi ya kuimarisha usafi kwenye darasa lako.Answer: Tunafagia darasa na kutupa takataka kwenye pipa.
- Question 6: Sikiliza kifungu cha mwalimu: Kwa nini Maria alifurahi sana?Answer: Kwa sababu babu alimnunulia zawadi ya mkoba.
- Question 7: Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.Answer: Macho yangu ni mawili. Nayo hunisaidia kuona. Mimi huyatunza sana. Pia hunawa uso kila mara ninapoamka.…