naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

Bahati ana miaka mingapi?

From Kiswahili — Revision 6 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Jina langu ni Bahati. Nina umri wa miaka sita. Niko gredi ya kwanza. Mimi ni msichana. Ninasomea katika shule ya Bidii. Mimi nina rafiki. Rafiki yangu anaitwa Baraka. Yeye ni mvulana mpole. Ana umri wa miaka saba. Yeye yuko gredi ya kwanza pia.

Baba na mtoto wakisoma kitabu

1. Bahati ana miaka mingapi?

Answer

sita

Kifungu kinasema: "Nina umri wa miaka sita."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test