CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Rafiki yake Bahati anaitwa nani?
From Kiswahili — Revision 6 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Jina langu ni Bahati. Nina umri wa miaka sita. Niko gredi ya kwanza. Mimi ni msichana. Ninasomea katika shule ya Bidii. Mimi nina rafiki. Rafiki yangu anaitwa Baraka. Yeye ni mvulana mpole. Ana umri wa miaka saba. Yeye yuko gredi ya kwanza pia.
4. Rafiki yake Bahati anaitwa nani?
Answer
Baraka
Kifungu kinasema: "Rafiki yangu anaitwa Baraka."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.