CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 6 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha
Mimi ni Halima. Mimi na wenzangu tunapenda kucheza pamoja. Tunapenda mchezo wa kuruka kamba. Wakati wa likizo tutacheza mchezo huo wa kuruka kamba pamoja.
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Mimi ni Halima. Mimi na wenzangu tunapenda kucheza pamoja. Tunapenda mchezo wa kuruka kamba. Wakati wa likizo tutacheza mchezo huo wa kuruka kamba pamoja.
Soma kila neno wazi na usimame kidogo kwenye kila kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.