CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2
Rafiki yako anaitwa nani?
From Kiswahili — Revision 6 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu anakusalimu na kukuuliza swali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
2. Rafiki yako anaitwa nani?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Rafiki yangu anaitwa Baraka.
Sema: "Rafiki yangu anaitwa …"
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.