CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 11
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali. Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza…
From Kiswahili — General Revision Paper 1 · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda somo la Kiswahili na Hisabati.
Maswali:
1. Msichana huyu anaitwa nani?
Answer
Imani
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza…Question 12
- Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza…Question 13
- Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza…Question 14
- Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza…Question 15
- Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Question 16
- Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Question 17