CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam: General Revision Paper 1
Kiswahili — General Revision Paper 1 · General Revision Paper 1 · 35 questions
Topics: Darasani, Mwili Wangu, Tarakimu, Familia, Siku za Wiki.
All 35 questions with answers
- Question 1: Mwalimu: Jina lako ni nani? Andika jibu lako.Answer: Jina langu ni ___.
- Question 2: Mwalimu: Rafiki yako anaitwa nani? Andika jibu lako.Answer: Rafiki yangu anaitwa ___.
- Question 3: Je, wewe unaona kwa kutumia nini?Answer: macho
- Question 4: Wewe una masikio mangapi?Answer: mbili
- Question 5: Ni sehemu gani ya mwili unayotumia kukimbia?Answer: miguu
- Question 6: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: Huu ni mkono wangu.
- Question 7: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: Paka anakimbia sana.
- Question 8: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: Nina macho mawili.
- Question 9: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: Mwalimu wetu ni mzuri.
- Question 10: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: Kalamu hii ni yangu.
- Question 11: Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali. Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi.…Answer: Imani
- Question 12: Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda…Answer: shuleni
- Question 13: Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda…Answer: Bi. Mwema
- Question 14: Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda…Answer: Kiswahili
- Question 15: Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda…Answer: Hisabati
- Question 16: Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Answer: A. nane
- Question 17: Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Answer: B. jua
- Question 18: Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Answer: C. tunda
- Question 19: Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ba".Answer: baba
- Question 20: Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ga".Answer: gari
- Question 21: Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ki".Answer: kiti
- Question 22: Andika neno hili kwa herufi kubwa zote: "Mwanafunzi"Answer: MWANAFUNZI
- Question 23: Andika neno hili kwa herufi kubwa zote: "Kijiko"Answer: KIJIKO
- Question 24: Andika neno hili kwa herufi kubwa zote: "Darasa"Answer: DARASA
- Question 25: Unganisha silabi: "Cha" + "ku" + "la" =Answer: chakula
- Question 26: Unganisha silabi: "Li" + "ma" =Answer: lima
- Question 27: Unganisha silabi: "Si" + "ta" =Answer: sita
- Question 28: Jaza pengo: Kal___muAnswer: a
- Question 29: Jaza pengo: Ya___Answer: i
- Question 30: Jaza pengo: Kik___mbeAnswer: o
- Question 31: Andika kwa maneno: 3Answer: tatu
- Question 32: Andika kwa maneno: 5Answer: tano
- Question 33: Andika kwa maneno: 9Answer: tisa
- Question 34: Andika neno hili vizuri: "absa"Answer: saba
- Question 35: Andika neno hili vizuri: "mmaa"Answer: mama