CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 15
Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda somo la Kiswahili na…
From Kiswahili — General Revision Paper 1 · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Jina langu ni Imani. Mimi ni msichana mpole. Napenda kuenda shuleni. Mwalimu wangu anaitwa Bi. Mwema. Yeye hufunza vizuri. Mimi ninapenda somo la Kiswahili na Hisabati.
4. Imani anapenda somo la ______ (jibu la pili).
Answer
Hisabati
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Question 16
- Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Question 17
- Angalia picha hii. Ni neno gani sahihi?Question 18
- Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ba".Question 19
- Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ga".Question 20
- Unda neno lolote la Kiswahili linalotumia silabi "ki".Question 21