CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 26
Huu ni wimbo wa aina gani?
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
Jibu maswali yafuatayo kwa kutumia wimbo huu.
Mabata wadogo wadogo x2
Wanaogelea x2
Katika ziwa letu la maji safi
Wanafanya kwa kwa kwa x2
Katika ziwa la maji yetu x2
Tumbili wadogo wadogo x2
Wanarukaruka x2
Katika miti yetu ya miti juu
Wanafanya ki ki ki x2
Katika miti yetu ya miti ya juu x2
Mabata wadogo wadogo x2
Wanaogelea x2
Katika ziwa letu la maji safi
Wanafanya kwa kwa kwa x2
Katika ziwa la maji yetu x2
Tumbili wadogo wadogo x2
Wanarukaruka x2
Katika miti yetu ya miti juu
Wanafanya ki ki ki x2
Katika miti yetu ya miti ya juu x2
Huu ni wimbo wa aina gani?
Answer
Ni wimbo wa watoto.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.