CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 25
Tunga sentensi moja ukitoa maana mbili za neno 'chungu'.
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Tunga sentensi moja ukitoa maana mbili za neno 'chungu'.
Answer
Alinunua chungu cha kupikia, lakini chakula kilikuwa chungu sana.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.