CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3: Kiswahili Paper 2 Opener Term 3
Test 83 — Kiswahili Paper 2 Opener Term 3 · Kiswahili PP2 (902/2) Opener Term 3 · 19 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 19 questions with answers
- Question 1: ZOEZI I: INSHA (Alama 15) 1. Andika insha kuhusu umuhimu wa kusoma vitabu na jinsi vitabu vimekuwa chanzo cha maarifa kwako. Andika insha…Answer: Umuhimu wa Kusoma Vitabu na Jinsi Vimekuwa Chanzo cha Maarifa Kwangu Kusoma vitabu ni zaidi ya burudani tu;…
- Question 2: (a) Kipera cha hadithi hii ni nini? Toa sababu moja kuthibitisha jibu lako. (alama 2)Answer: Kipera cha hadithi hii ni hekaya/ngano ya jamii.
- Question 3: (b) Eleza sifa mbili za Neema kama zinavyojitokeza katika hadithi hii. (alama 2)Answer: Mjanja/mwerevu/mwenye akili kali — alijulikana kwa akili yake kali na uwezo wake wa kutatua matatizo magumu;…
- Question 4: (c) Ni ujumbe gani mkuu unapatikana katika hadithi hii? (alama 1)Answer: Ujumbe mkuu ni kwamba ushirikiano na matumizi ya akili (hekima) huweza kutatua matatizo makubwa.
- Question 5: (d) Taja mandhari mbili tofauti zinazojitokeza katika hadithi hii. (alama 2)Answer: Mandhari ya Kijiji (kijiji cha Bonde la Amani ambapo watu wanaishi na kukabiliwa na ukame) na Mandhari ya…
- Question 6: (e) Kauli, "Nataka kila mmoja wenu achukue jiwe dogo na kulileta kando ya mto," imetumiwa katika hadithi hii. Eleza maana yake kulingana…Answer: Kauli hii ina maana ya wito wa ushirikiano na kujitolea kidogo kidogo kutoka kwa kila mwanajamii ili kutatua…
- Question 7: (f) Eleza funzo unalopata kutokana na ushirikiano wa wanakijiji wa Bonde la Amani. (alama 1)Answer: Funzo ni kwamba kwa kushirikiana, watu wanaweza kushinda changamoto ngumu na kufikia malengo makubwa;…
- Question 8: (a) Kazi za fasihi huwa na malengo maalum. Eleza dhamira ya sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Dhamira kuu ni kuonyesha umuhimu wa elimu na bidii katika kushinda umaskini na dharau; elimu ni urithi wa…
- Question 9: (b) Eleza aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Mandhari ya Kiuchumi/Kijamii (Umaskini wa Juma na bibi yake) na Mandhari ya Kielimu/Shule (matukio mengi…
- Question 10: (c) Eleza sifa mbili za Bibi Salama kama zinavyojitokeza katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Anayejali/Mlezi/Mwenye upendo — alimlea Juma, mtoto yatima, na alihakikisha anapata elimu licha ya umaskini…
- Question 11: (d) Ploti ni namna ambavyo matukio katika kazi ya fasihi yanavyojitokeza. Eleza mfuatano wa matukio muhimu katika maisha ya Juma. (alama 2)Answer: Umaskini na malezi (Juma ni yatima anayelelewa na bibi yake maskini anayehakikisha anapata elimu); dharau na…
- Question 12: (e) Eleza mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Tashibiha ('Jua lilizama polepole nyuma ya vilima, likiacha anga likiwa limepakwa rangi za machweo');…
- Question 13: (a) Mazungumzo ni mojawapo ya sifa za tamthilia. Eleza sifa nyingine mbili za tamthilia ambazo zinajitokeza katika sehemu hii ya…Answer: Wahusika (Mwalimu Mkuu, Mwajuma, Juma, Rehema); Mgogoro/Tatizo (wasiwasi wa wanafunzi kuhusu mtihani na hofu…
- Question 14: (b) Mada ya umuhimu wa elimu imeshughulikiwa katika sehemu hii ya tamthilia. Fafanua mada nyingine mbili ambazo zimeshughulikiwa katika…Answer: Uongozi Bora/Ushauri (Mwalimu Mkuu anawakusanya na kuwashauri wanafunzi, akiwapa mwongozo na matumaini);…
- Question 15: (c) Eleza umuhimu wa maelezo yaliyoandikwa kwa herufi za mlazo katika sehemu hii ya tamthilia. (alama 2)Answer: Maelezo ya herufi za mlazo (maelekezo ya jukwaa) yanatoa mwongozo kwa waigizaji na mkurugenzi kuhusu jinsi…
- Question 16: (d) Neno 'kuguna' ni mfano wa mbinu ya onomatopeia. Eleza mbinu nyingine mbili za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya tamthilia.…Answer: Methali ('Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza'); Lugha ya kuvutia/msisitizo ('mtapita kwa urahisi',…
- Question 17: (a) Eleza ujumbe wa shairi hili. (alama 2)Answer: Ujumbe mkuu ni kutaka kizazi cha sasa kirejelee maadili mema na tabia njema zilizokuwa zikifuatwa na vizazi…
- Question 18: (b) Ni wahusika gani wanashauriwa katika shairi hili? (alama 1)Answer: Wanafunzi/Kizazi cha sasa.
- Question 19: (c) Bainisha mbinu mbili za lugha zinazojitokeza katika ubeti wa kwanza. (alama 2)Answer: Sitiari ('Wenzenu tu jukwaani' — inawafananisha wanafunzi na waigizaji jukwaani; 'chetu kizazi si wima' —…