CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025: Assessment 2025 (Set 16)
Kiswahili — Assessment 2025 (Set 16) · Assessment 2025 (Set 16) · 33 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 33 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Zoezi A: Soko letu 1. Soko lenu linaitwaje?Answer: Soko letu linaitwa soko la Muthurwa.
- Question 2: Siku ya soko kwenu ni ipi?Answer: Siku ya soko ni Jumamosi.
- Question 3: Ni nini huwa unanunua sokoni?Answer: Ninanunua mboga na matunda.
- Question 4: Anayeuza vitu dukani anaitwaje?Answer: Muuzaji.
- Question 5: Watu hutumia nini kununua vitu sokoni?Answer: Pesa.
- Question 6: Zoezi B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Usafi wa mazingira ni muhimu katika maisha yetu. Tunapaswa kuzingatia usafi wa mazingira yetu. Kwa mfano,…
- Question 7: Soma sentensi hizi kwa sauti.Answer: Jua linawaka angani na kutoa mwanga mkali. Watoto wanachezea mpira uwanjani kwa furaha. Ndege huimba kwenye…
- Question 8: SEHEMU YA 2: UFAHAMU (a) Hawa alienda dukani na nani?Answer: mama yake
- Question 9: (b) Ni kitu gani kilichovutia Hawa dukani?Answer: pipi
- Question 10: (c) Hawa alijifunza nini?Answer: jinsi ya kuchagua bidhaa na kuangalia bei
- Question 11: (d) Hawa alikagua nini?Answer: bei
- Question 12: (e) Hawa alijifunza jinsi ya kufanya nini?Answer: kutumia pesa zake vizuri
- Question 13: SEHEMU YA 3: SARUFI 1. Tumia '-ake' kwa usahihi. (a) Nyumba ___ imejengwa juu ya jiwe.Answer: yake
- Question 14: (b) Wazazi ___ wanaenda shuleni.Answer: wake
- Question 15: (c) Dada ___ anaitwa Halima.Answer: yake
- Question 16: (d) Gari ___ limeegeshwa kivulini.Answer: lake
- Question 17: (e) Mama ___ ameenda kununua bidhaa.Answer: yake
- Question 18: Tumia '-ao' kwa usahihi. (a) Shule ___ inapendeza.Answer: yao
- Question 19: (b) Mama ___ anaenda sokoni.Answer: yao
- Question 20: (c) Shamba ___ lina mazao mengi.Answer: lao
- Question 21: (d) Mchezo ___ haupendezi.Answer: wao
- Question 22: (e) Rinda ___ ni jekundu.Answer: lao
- Question 23: Tumia 'yule' au 'wale' kujaza pengo. (a) Wanafunzi ___ wanacheza.Answer: B. wale
- Question 24: (b) Walimu ___ wanafunza wanafunzi.Answer: B. wale
- Question 25: (c) Mkulima ___ anaenda shambani.Answer: A. yule
- Question 26: (d) Mpishi ___ anapika chakula.Answer: A. yule
- Question 27: (e) Mtoto ___ ni mwerevu sana.Answer: A. yule
- Question 28: Tumia 'hili' au 'haya'. (a) Maji ___ yamemwagika.Answer: B. haya
- Question 29: (b) Hindi ___ ni bichi.Answer: A. hili
- Question 30: (c) Matunda ___ yametoka mitini.Answer: B. haya
- Question 31: (d) Gari ___ limeharibika.Answer: A. hili
- Question 32: (e) Jani ___ limeanguka kutoka kwenye mti.Answer: A. hili
- Question 33: SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'SOKO LETU'.Answer: Soko letu ni kubwa. Watu wengi huenda sokoni Jumamosi. Tunanunua mboga na matunda. Wauzaji huuza bidhaa…