CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 6
Zoezi B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 16) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Usafi wa mazingira ni muhimu katika maisha yetu. Tunapaswa kuzingatia usafi wa mazingira yetu. Kwa mfano, tutakapomaliza kula, lazima tutupe takataka kwenye jaa. Hii inasaidia kuzuia magonjwa. Tunapaswa kupanda miti na maua ili kurembesha mazingira yetu. Katika shule tunahitaji kuhakikisha darasa letu ni safi kwa kuliosha na kupanga madawati vizuri. Kwa kufanya hivi tunalinda mazingira yetu.
Zoezi B: KUSOMA KWA SAUTI
1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Usafi wa mazingira ni muhimu katika maisha yetu. Tunapaswa kuzingatia usafi wa mazingira yetu. Kwa mfano, tutakapomaliza kula, lazima tutupe takataka kwenye jaa. Hii inasaidia kuzuia magonjwa. Tunapaswa kupanda miti na maua ili kurembesha mazingira yetu. Katika shule tunahitaji kuhakikisha darasa letu ni safi kwa kuliosha na kupanga madawati vizuri. Kwa kufanya hivi tunalinda mazingira yetu.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.