CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 13
SEHEMU YA 3: SARUFI 1. Tumia '-ake' kwa usahihi. (a) Nyumba ___ imejengwa juu ya jiwe.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kimilikishi -ake
SEHEMU YA 3: SARUFI
1. Tumia '-ake' kwa usahihi.
(a) Nyumba ________ imejengwa juu ya jiwe.
Answer
yake
Sahihi: Nyumba yake imejengwa juu ya jiwe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.