CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025: Mid Term 1 Assessment 2025 (SET 1)
Kiswahili — Mid Term 1 Assessment 2025 (SET 1) · Mid Term 1 Assessment 2025 (SET 1) · 25 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 25 questions with answers
- Question 1: Kwenye picha kuna watoto wangapi?Answer: Wawili.
- Question 2: Taja matunda mawili kwenye picha.Answer: Tikiti na nanasi.
- Question 3: Watoto hao wamefurahi au wamekasirika?Answer: Wamefurahi.
- Question 4: Tunapaswa kuosha au kupika matunda kabla ya kula?Answer: Kuosha.
- Question 5: Soma kwa sauti. 1. Amina na Tamara.Answer: Amina na Tamara.
- Question 6: Mama anapika.Answer: Mama anapika.
- Question 7: Anasoma kitabu.Answer: Anasoma kitabu.
- Question 8: Leta hapa.Answer: Leta hapa.
- Question 9: Mtoto analia.Answer: Mtoto analia.
- Question 10: Tamara ni ___ wa gredi ya kwanza.Answer: mwanafunzi
- Question 11: Kwenye hadithi mwalimu anaitwa Bi. ___Answer: Kapeto
- Question 12: Rehema na Tamara wanaishi kijiji cha ___Answer: Mororo
- Question 13: Tamara anapenda somo gani?Answer: Kiswahili
- Question 14: Wote wanapenda somo la ___Answer: Kiingereza
- Question 15: Ambatanisha maneno haya (wingi) 1. MtotoAnswer: E. watoto
- Question 16: DawatiAnswer: D. madawati
- Question 17: kikombeAnswer: A. vikombe
- Question 18: dirishaAnswer: B. madirisha
- Question 19: mguuAnswer: C. miguu
- Question 20: Tumia huyu au hawa 1. ___ ni mwalimuAnswer: A. huyu
- Question 21: Watoto ___ ni wazuriAnswer: B. hawa
- Question 22: ___ ni wachezajiAnswer: B. hawa
- Question 23: Ambatanisha herufi kubwa na ndogo uAnswer: B. U
- Question 24: mAnswer: A. M
- Question 25: Andika majina ya vitu vilivyo katika picha.Answer: kitabu, ubao, kalamu, meza, kiti