CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 14
Wote wanapenda somo la ___
From Kiswahili — Mid Term 1 Assessment 2025 (SET 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi kisha ujibu maswali.
Tamara ni mwanafunzi wa gredi ya kwanza. Ana umri wa miaka sita. Mwalimu wake anaitwa Bi. Kapeto. Rafiki yake anaitwa Rehema. Wanaishi kijiji cha Mororo, wanapendana sana. Rehema anapenda hesabu, Tamara naye anapenda Kiswahili. Wote wanapenda somo la Kiingereza.
5. Wote wanapenda somo la ____
Answer
Kiingereza
Jibu liko kwenye hadithi: Kiingereza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.